sw_tn/job/31/35.md

20 lines
692 B
Markdown

# hii ni saini yangu
Ayubu anaelezea malalamiko yake kwa Mungu kana kwamba aliyaandika katika nyaraka rasmi. Angeandika jina lake juu yake kama ahadi ambayo kila kitu katika nyaraka ni za kweli.
# Ikiwa nilikuwa na shitaka rasmi ambalo adui yangu ameliandika!
"kama tu ningeweza kusoma mashitaka ya adui yangu dhidi yangu"
# Hakika ningelibeba hadharani juu ya bega langu; ningeliweka juu kama taji
Hii ina maana kama Mungu angeyaandika mashitaka kinyume na Ayubu, kisha Ayubu angeziweka nyaraka mahali ambapo kila mtu angeweza kuzisoma.
# hatua zangu
hii inarejelea matendo ya Ayubu
# kama mwana wa mfalme mwenye kujiamini
Hii ina maana kwamba Ayubu angemkaribia Mungu bila hofu.