sw_tn/job/24/11.md

20 lines
472 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Ayubu anaendelea kuongea
# watu masikini hutengeneza mafuta
wanakamua zeituni ili kutoa mafuta ya zeituni
# Ndani ya kuta wale watu waovu
"Kuta" inarejea nyumba nzima .KTN: " kwenye nyumba za wale watu waovu"
# wanakanyaga mashinikizo ya divai ya watu waovu
wanazalisha shalibati ili kutengeneza divai.KTN: "wanakanyaga zabibu ili kutengeneza sjhalibati kwa ajili ya diva"
# wenyewe huteseka kwa kiu
"huteseka kutokana na kiu au hupata kiu"