# Sentensi Unganishi
Ayubu anaendelea kuongea
# mashariki... magharibi .. kaskazini ... kusini
kwa kutaja pande hizi nne, Ayubu anasisitiza kwamba alitazama kila mahali.