sw_tn/job/16/20.md

24 lines
715 B
Markdown

# wananicheka
"cheka au kejeli"
# jicho langu linamwaga machozi
Ayubu anaeleza jinsi yeye anavyojisikia mwenye huzuni. Katika sentensi hii anaelezea kwa kulikuza jambo la jinsi gani mara nyingi machozi humwagika kutoka katika macho yake. "macho yangu yamejaa machozi wakati mimi ninapolia kwa sauti"
# kwa ajili ya mtu huyu
Katika sentensi hii Ayubu anajisema yeye mwenyewe katika nafsi ya tatu"kwa ajili yangu mimi"
# kama mwanadamu afanyavyo na jirani yake.
"Ayubu anaeleza jinsi anavyotaka yeye kwamba mmoja mbinguni kumwombea yeye.
# mtu huyu
Ayubu anajisema yeye mwenyewe.
# Mimi nitakwenda mahali
Pia katika sentensi hii Ayubu anajisema yeye mwenyewe anakufa. " Mimi nitakufa na kwenda mahali"