sw_tn/job/11/10.md

24 lines
990 B
Markdown

# kama yeye.... kumyamazisha mtu yeyote,
"Kama Mungu ...akimfunga mtu yeyote gerezezani"
# kama yeye akimwita mtu yeyote hukumuni,
Jina dhahania "hukumu" laweza kutafsiriwa pamoja na tendo "hukumu." "kama Mungu akimwita mtu yeyote kwake hivyo kwamba Mungu angemhukumu yeye"
# ni nani anayeweza kumzuia yeye?
Swali hili linasisitiza kuwa hakuna hata mmoja awezaye kumzuia Mungu. "Hakuna awezaye kumzuia yeye!"
# hawezi yeye kuukumbuka?
Hii kinasisitiza kuwa Mungu anakumbuka dhambi. "Hakika yeye huikumbuka !
# Lakini watu wapumbavu hawana ufahamu;
Jina dhahania "ufahamu" laweza kuelezwa pamoja na kitenzi "fahamu." "Lakini watu wapumbavu hawafahamu"
# wataupata wakati punda mwitu atakapozaa mtu.
Kwa kuwa punda mwitu hawezi kuzaa mtu, maneno haya yanamaanisha kwamba watu wapumbavu hawatapata ufahamu. "ni pale tu ikiwa punda mwitu atakapozaa mtu ndipo watu wapumbavu watapata ufahamu" au "haiwezekani kwa mtu mpumbavu kupata ufahamu kama ilivyo kwa punda kuzaa mtu."