forked from WA-Catalog/sw_tn
8 lines
314 B
Markdown
8 lines
314 B
Markdown
# Ukiwa wewe ni msafi na mkamilifu
|
|
|
|
"Kama tu wewe ni msafi na mmwenye haki" au " Kama moyo na matendo yako ni mema"
|
|
|
|
# Japokuwa huo mwanzo wako ulikuwa ni mdogo, hata hivyo hali yako ya mwisho itaongezeka sana
|
|
|
|
"Hata kama wewe hukuwahi kuwa mwenye heri kabla, wakati wa mwisho wa maisha yako utakuwa tajiri sana."
|