sw_tn/job/07/08.md

20 lines
882 B
Markdown

# Habari za Jumla:
Mwandishi anaendelea kutumia ulinganishaji katika kila mtistari hii, kuwasilisha wazo moja akitumia taarifa mbili tofauti kusisitiza fikira za Ayubu kwamba, baada ya kufa, si Mungu wala watu yeye alifahamu wataonana naye tena.
# Macho ya Mungu yatanitazama, lakini sitakuwako
Neno "Mungu" liliongezwa katika kifungu hiki kwasababu muktadha unaonyesha kwamba Ayubu anaongea na Mungu. "Macho ambayo yananiona mimi hayataniona tena."
# Macho ya Mungu yatanitazama, lakini sitakuwako
"Macho yako yatakuwa juu yangu, lakini mimi sitakuwako."
# kama vile wingu liishavyo na kutoweka, hivyo wale waendao sheoli hawatarudi tena kabisa
Ayubu anaelezea kifo katika hali ya mawingu yanavyotoweka. "Kama mawingu yatowekavyo, hivyo yeye ambaye anakufa hutoweka" au "Mara wewe uwapo kaburini, hutaweza kuinuka."
# kama vile wingu liishavyo
"Kama wingu linavyotoweka"