sw_tn/job/07/06.md

32 lines
915 B
Markdown

# Habari ya Jumla:
Mwandishi anaendelea kutumia ulinganishaji katika mistari hii, kuwasilisha wazo moja akitumia taarifa mbili tofauti kusisitiza hisia za Ayubu juu ya ufupi wa maisha.
# Siku zangu zinakimbia kuliko chombo cha kufumia
"Maisha yangu yanapita haraka sana"
# mfumaji
mtu ambaye hutengeneza nguo kwa kupishanisha uzi au kitani
# chombo cha kufumia
ni kipande ambacho kinatembea mbele na nyuma haraka sana katika mashine au chombo kwa ajili ya kutengeneza nguo
# zinapita bila tumaini
"zinafika mwisho bila matumaini kabisa"
# Mungu, anakumbuka
Neno "Mungu" liliongezwa katika kifungu hiki kwa sababu watu ambao watasikia "kumbuka" waliweza kuelewa kwamba Mungu ameandikiwa.
# maisha yangu ni pumzi tu
Katika msemo huu, Ayubu analinganisha ufupi wa maisha yake na upungufu wa pumzi. "Maisha yangu ni mafupi kama kupumua mara moja"
# jicho langu halitaona mema tena
"Sitapata tena furaha"