sw_tn/job/05/20.md

24 lines
479 B
Markdown

# Habari za Jumla:
Mabadiliko katika kiwakilishi kutoka (yeye" hadi "wewe" ambayo yalianzia katika 5:17 yanaendelea hadi mwisho wa usemi ya Elifasi katika 5: 26.
# Wakati wa njaa atakukomboa
"wakati wa njaa Mungu atakuokoa wewe"
# atakukomboa wewe
"atakukomboa wewe" au "atakuokoa wewe" au "atakunusuru"
# uharibifu
"madhara kutoka kwa maadui"
# hutatishika na wanyama mwitu
"wewe hutaogopa wanyama mwitu"
# wanyama mwitu
wanyama ambao hawajafugwa au hawajafundishwa.