sw_tn/job/03/06.md

28 lines
1.1 KiB
Markdown

# na ukamatwe na giza tororo
Giza hili tena linazungumziwa kana kwamba ni mtu ambaye anaweza kuushika na kuuzuia usiku. "ikiwezekana giza nene kulifanya litoweke"
# giza tororo
"giza sana" au "giza kabisa"
# shangwe isiwe ndani yake.
Neno "hii" linahusiana na usiku wa kuzaliwa kwake Ayubu au mimba yake. Usiku wa mimba ya Ayubu unazungumziwa kana kwamba mtu ambaye hata kuwa na furaha. "Ikiwezekana usiku huo utoweke kwenye kalenda."
# usiwekwe katika hesabu
Usiku huo unazungumziwa kana kwamba mtu ambaye anaweza kutembea. "ikiwezekana asiwepo mtu wa kuuweka katika hesabu"
# usiku huo na uwe tasa
Usiku wa kuzaliwa kwake Ayubu unazungumziwa kana kwamba ni mwanamke. "ikiwezekana asizaliwe mtoto katika usiku huo"
# sauti ya shangwe isiwe ndani yake.
Hapa usiku wa kuzaliwa kwake Ayubu unazungumziwa kana kwamba ni muda ambao ulikuwa bado unawezekana kwa mtu kuwa na furaha. "ikiwezekana asiwepo mtu wa kusikia kilio cha furaha wakati wa kuzaliwa mwana"
# sauti ya shangwe kuja
Hapa sauti inasimama kwaajili ya mtu mwenye furaha. "Ikiwezekana asiwepo mtu wa kuwa na furaha katika hili milele"