sw_tn/job/02/01.md

24 lines
466 B
Markdown

# Habari za jumla:
Mistari hii ipo sawa na 1: 6 na inawezekana kutafsiriwa katika namna moja.
# Kisha kulikuwa na siku
Tafsiri kama katika 1: 6
# siku ambayo
Hii haikuwa siku maalumu. Kusanyiko lilifanyika mara kwa mara. "wakati ambapo" au "wakati wa siku moja"
# wana wa Mungu
Tafasiri kama katika 1: 6.
# kujihudhurisha mbele za BWANA
Tafasiri kama katika 1: 6.
# Natoka kuzunguka zunguka duniani, kutembea huku na huko humo.
tafasiri kama katika 1: 6.