sw_tn/job/01/16.md

16 lines
313 B
Markdown

# Wakati alipokuwa akiendelea kusema
"yeye" linarejea mjumbe wa kwanza
# akatokea mwingine
"mjumbe mwingine pia alifika"
# Mimi pekee nimeokoka kukuletea habari.
Tafsiri kama katika 1: 13
# Kwa wale watumishi, wamewaua kwa makali ya upanga. Mimi pekee nimeokoka kukuletea habari.
Tafsiri kama katika 1: 13