sw_tn/jhn/20/06.md

8 lines
206 B
Markdown

# Sanda za Kitani
Hizi ni nguo azazovalishwa mfu kabla ya kuzikwa
# leso ilyokuwa kichwani mwake
Hiki ni kitambaa kidogo ambacho hutumika kwa kufutia jasho usoni amabcho pia kilitumika kufunika uso wake