forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
373 B
Markdown
12 lines
373 B
Markdown
# Ufalme wangu si wa ulimwengu huu
|
|
|
|
Sentesihii yaweza kumaanisha 1) "Ufalme wangu si sehemu ya dunia hii" au 2) "Si hitaji ruhusa ya dunia hii kuwa mtawala wao" au "Si kwa kutokana na ulimwengu huu kwamba nina mamalaka ya kuwa mfalme."
|
|
|
|
# Ili kwamba nisitolewe kwa Wayahudi.
|
|
|
|
"wangewazuia viongozi wa Kiyahudi kunikamata"
|
|
|
|
# Sauti yangu
|
|
|
|
"mambo ninayoyaongelea" au "mimi"
|