sw_tn/jhn/18/04.md

8 lines
194 B
Markdown

# Maelezo ya jumla:
Yesu anaanza kuongea na askari, waheshimiwa, na Mafarisayo
# Naye Yesu hali akijua kila kitu kilichokuwa kikifanyika dhidi yake
Yesu alijua mambo yote yaliyopaswa kumpata