sw_tn/jhn/16/intro.md

1.0 KiB

Yohana 16 Maelezo ya Jumla

Dhana maalum katika sura hii

Mfariji

Hili ni jina lingine la Roho Mtakatifu, pamoja na "Roho wa Kweli." Alikuwa tayari ulimwenguni, lakini angekuja kwa njia maalum, kukaa kati ya Wakristo, milele. Yesu na Roho Mtakatifu wote ni Mungu; kwa sababu ya ukweli huu, inaweza kusemekana kwamba Yesu atakaa katika Wakristo baada ya kifo chake. (See: rc://*/tw/dict/bible/kt/holyspirit)

"Saa inakuja"

Haya ni maneno ambayo yanaweza pia kutafsiriwa kama "wakati unakuja." Yesu anaelezea wakati baada ya kifo chake kama saa hii itakapokuja. Ukitumia maneno haya, yataweza kuonekana kama unabii. (See: rc://*/tw/dict/bible/kt/prophet)

Mifano muhimu za usemi katika sura hii

Mfan

Yesu analinganisha kifo chake na maumivu ya mwanamke anayezaa. Ni kwa maumivu ambapo maisha mapya huja. wakati wa mfano huu kusemwa, hakuna hakika ya wasikilizaji kuelewa mfano huu. (See: rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor)

<< | >>