sw_tn/jhn/16/25.md

12 lines
239 B
Markdown

# Kwa lugha isiyoeleweka
"kwa lugha ambayo ni ngumu kueleweka"
# Nitawaambia waziwazi kuhusu Baba
Kibinadamu kujifunza kuhusu Mungu Baba kupitia Mwana wa Mungu, Yesu. Kumjua Mwana ni kumjua Baba.
# Baba
Hiki ni cheo muhimu cha Mungu.