sw_tn/jhn/13/36.md

8 lines
198 B
Markdown

# kuweka chini uhai wangu
kuutoa uhai wangu au kufa
# Je utautoa uhai wako kwa ajili yangu?
Hii ni hali ya kuweka mkazo katika sentensi kwamba "wewe unasema utautoa uhai wako kwa ajili yangu..."