sw_tn/jhn/06/32.md

20 lines
555 B
Markdown

# Amini, amini
Tafsiri hili kama ulivyo tafsiri maneno kama haya.
# Baba yangu ndiye awapaye mkate wa kweli kutoka mbinguni
Baba anatupa "mkate wa kweli" kutoka mbinguni, Mwanae Yesu. Pamoja Baba na Mwana pamoja na Roho Mtakatifu wanawapa watu maisha ya kimwili, kiroho na maisha ya milele.
# Baba yangu
Hiki ni cheo muhimu kwa Mungu.
# mkate wa kweli
Yesu anajilinganisha na mkate. Kama vile mkate uliyo muhimu kwa ajili ya maisha yetu ya mwili, Yesu ni wa muhimu kwa ajili ya maisha yetu ya kiroho.
# uzima
hili lina maanisha uzima wa kiroho.