forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
639 B
Markdown
16 lines
639 B
Markdown
# Maelezo kwa UJumla:
|
|
|
|
kitendo katika simulizi kinaanza msitari wa 5.
|
|
|
|
# (Pasaka, sikukuu ya Wayahudi ilikuwa karibu.)
|
|
|
|
Yohana kwa ufupi anaacha kuongea kuhusu matukio katika simulizi ili kwamba alete hisotia ya nyuma kuhusu lini tukio lilitokea.
|
|
|
|
# (Basi Yesu alisema maneno haya ili kumjaribu Filipo, kwa sababu yeye mwenyewe alifahamu atakachokifanya.)
|
|
|
|
kwa ufupi Yohana anaacha kuongea kuhusu matukio katika simulizi ili kwamba afafanue kwa niniYesu alimuuliza Filipo mahali pa kunua mkate.
|
|
|
|
# Kwa sababu yeye mwenyewe alifahamu
|
|
|
|
Neno "mwenyewe" hapa linaweka wazi kwamba neno "yeye" lina maanisha Yesu.Yesu alifahamu nini angefanya.
|