sw_tn/jhn/05/36.md

16 lines
591 B
Markdown

# kazi alizonipa Baba kuzitimiliza ...zinashuhudia...kuwa Baba amenituma
Mungu Baba amemtuma Mungu Mwana, Yesu, Mwana wa Mungu, duniani. Yesu anatimiza kile ambacho Baba amempa kufanya.
# Baba
Cheo muhimu kwa Mungu
# hamana neno lake...ndani yenu, kwa sababu hamumwamini yeye aliyemtuma
"Hamuamini katika yeye aliyetumwa. Hivi ndivyo ninavyofahamu kuwa hamna neno lake ndani yenu." Kumjua Mungu wa kwelikatika Yesu, Mwana wa Mungu, ambaye Baba amemtuma. Maneno "Baba" na "Mwana" lazima yatafsiriwe katika utambulisho ambaye ni lazima tuamini.
# likikaa ndani yenu
"kukaa pamoja nanyi