sw_tn/jhn/04/37.md

12 lines
472 B
Markdown

# Kiunganishi cha Sentesi:
Yesu anaendelea kuongea na wanafunzi wake.
# Mmoja hupanda na mwingine huvuna
Maneno "kupanda" na kuvuna ni maneno ya lugha ya picha. Yeye anayepanda anashirikisha ujumbe wa Yesu. Yeye anayevuna anawasaidia watu kupokea ujumbe wa Yesu." Mtu mmoja hupanda mbegu, na mwingine huvuna mazao."
# ninyi wenyewe mmeingia katika kazi zao
ninyi wenyewe hutia msisitizo kwa neno "wewe" tafsiri hili katika lugha yako katika namna ya kumsisitiza mtu.