sw_tn/jhn/03/29.md

20 lines
511 B
Markdown

# Viunganishi vya maneno:
Yohana Mbatizaji anaendelea kuongea.
# Yeye aliye naye bibi harusi ndiye bwana harusi
Hapa bwana na "bibi" "arusi" ni mfano. Yesu ni kama "bwana arusi" na Yohana ni kama rafiki wa bwana arus." "bwana huoa bibi
# Hii, tena, furaha yangu imetimilizwa
'' Hivyo tena ninafurahia sana" au nina furahia zaidi."
# furaha yangu
hili neno "yangu" lina maanisha Yohana Mbatizaji , ndiye anayeongea.
# Ni lazima aongezeke
anamaanisha bwana arusi, Yesu, ambaye ataendelea kuwa wa muhimu.