sw_tn/jhn/01/04.md

16 lines
627 B
Markdown

# Ndani yake kulikuwa uzima
Hapa "uzima"ni mfano kwa kusababisha kila kitu kuishi. A: "Yeye anayeitwa Neno ndiye aliyesababisha kila kitu kuishi.
# Uzima
hapa tumia neno la jumla kwa "uzima." Kama utatafasiri moja kwa moja unaweza kufasiri kama "uzima wa kiroho".
# Uzima huo ulikuwa nuru ya wanadamu wote
"Nuru" ni mfano ambao ambao unamaanisha ufunuo wa Mungu.AT: aliifunua kweli kwetu kama vile nuru ifunuavyo kile kilichomo gizani.
# NUru yang'ara gizani wala giza halikuliweza
Kama vile ambavyo giza lisivyoweza kuizima nuru, watu wabaya hawajaweza kumzuia yeye ambaye ni kama nuru katika kuifunua kweli ya Mung.