sw_tn/jer/52/12.md

320 B

katika mwezi wa tano, siku ya kumi ya mwezi

Huu ni mwezi wa tano kwa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kumi ni karibu na mwazo wa mwezi Agusti kwa kalenda ya Magharibi.

mwaka wa kumi na tisa

"katika mwaka wa kumi na tisa"

Nebuzaradani

Hili ni jina la mtu.

Walinzi

Hawa ni watu ambao kazi yao ni kumlinda mtu.