sw_tn/jer/51/52.md

136 B

Kilio

Kulia kwa sababu ya maumivu au huzuni.

Hata ... kwake

Hii ni njia ya kusema kuwa ni vigumu Babeli kuepuka hukumu ya Bwana.