sw_tn/jer/51/09.md

8 lines
183 B
Markdown

# Hatia yao imefika mbinguni, imefikia mawingu
"Babeli ina hatia sana"
# Bwana ametamka haki yetu
Bwana aliiadhibu Israeli kwa sababu ya makosa yao lakini sasa amewaacha wamrudie.