sw_tn/jer/51/07.md

12 lines
211 B
Markdown

# Babeli ilikuwa kikombe cha dhahabu
"Babeli lilikuwa taifa lenye nguvu lililotumika kwa ajili ya hukumu"
# wazimu
"kutokuwa na uwezo wa kufikiri vizuri"
# Kuomboleza
Hiki ni kilio cha nguvu chenye huzuni.