# Merathaimu
Hili ni jina lingine la Babeli.
# Pekodi
Hili ni jina lingine la Kaldayo.
# Waweke kwenye upanga
"waue"
# Analosema Bwana
"Alilosema Bwana"