sw_tn/jer/50/19.md

521 B

Nitarejesha

Bwana anazungumza.

atakula huko Karmeli na Bashani

"Israeli watakula chakula cha Karmeli na Bashani."

Siku hizo na wakati huo

"siku hizo" na "wakati huo huo"

uovu utaangaliwa katika Israeli lakini hautaonekana. Nitauliza juu ya dhambi za Yuda lakini hakuna atakayeziona

Sentensi hizi zina maana moja. Kwa pamoja zinasisitiza kuwa Bwana atasamehe kabisa maovu ya wana wa Israeli.

ovu utaangaliwa katika Israeli lakini hautaonekana.

"Bwana ataangalia uovu wa wana wa Israeli lakini hatauona"