sw_tn/jer/49/28.md

12 lines
176 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Yeremia anazungumza juu ya mambo yatakayotokea kwa Kedari.
# Kedari
Hili ni kundi la watu.
# Hazori
Hii ni sehemu katika Biblia na ni Israeli ya sasa.