sw_tn/jer/49/16.md

12 lines
196 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Bwana anaendelea kuzungumza kuhusu kitakachotokea Edomu.
# Kiota cha juu kama tai
"Kuishi sehemu salama kama tai juu ya milima mirefu"
# Analosema Bwana
"Alilosema Bwana"