sw_tn/jer/48/36.md

20 lines
558 B
Markdown

# Moyo wangu unaomboleza kwa ajili ya Moabu kama filimbi
Yeremia anafananisha hisia zake na wimbo wa huzuni.
# Moyo wangu unaombileza
"moyo" inamaanisha hisia za ndani anazihisi Yeremia. "Nina huzuni sana kwa ajili yake."
# Kir Heresi
Kir-Heresi ulikuwa mji wa zamani wa Moabu kama kilimeta 18 mashariki mwa bahari ya Shamu.
# Kwa kila kichwa kuna kipara na ndevu zote zimenyolewa. Chale zipo katika kila mkono na magunia yanazunguka kiuno chake.
Haya ni mambo ambayo watu wa Moabu hufanya wanapoomboleza au kuwa na masikitiko.
# Chale
Kukata ngozi