sw_tn/jer/48/33.md

12 lines
202 B
Markdown

# sherehe na furaha vimeondolewa
"hakuna atakayekuwa na raha wala kufurahia huko Moabu"
# Nimeufanya kuwa mwisho
"Nimesimamisha"
# Hawatatembea
"hawatakanyaga" Hawa ni watengeneza mvinyo wa Moabu.