sw_tn/jer/48/18.md

16 lines
280 B
Markdown

# Kaa katika nchi kavu, ewe binti unayeishi Diboni
Neno "binti" limetumika kuwaelezea watu wa Diboni.
# ambaye ataharibu Moabu
"adui wa watu wa Moabu"
# Waulize ambao
"waulize watu" au "waulize wanawake na wanaume"
# Lia na kuomboleza
"lia kwa nguvu kwa maumivu na hasira"