sw_tn/jer/48/15.md

346 B

vijana wake wazuri wamekwenda chini sehemu ya kuchinjwa.

"Vijana wao wazuri watachinjwa wote."

Uharibifu wa Moabu umekaribia kutokea; msiba unakuja haraka

"Maadui wa Moabu watawaangamiza haraka"

fimbo yenye nguvu, fimbo ya heshima, imevunjika

"Fimbo" imeelezewa kama nguvu na msaada wa kisiasa ambao Moabu aliutoa kwa mataifa mengine.