sw_tn/jer/48/08.md

223 B

Basi bonde litaangamia na sehemu ya wazi itaharibiwa

Sentensi hizi zinafanana zikiwa zinasisitiza kuwa kila sehemu ya nchi itaharibiwa.

Mpe Moabu mbawa

"Wasaidie watu wa Moabu wakimbie."

kumwaga damu

"kuua watu"