sw_tn/jer/44/24.md

8 lines
200 B
Markdown

# sema kwa kimywa chakeo na yabebe kwa mikono yako hayo uliyoyasema
"sema na utende kama ulivyosema"
# Malkia wa mbingu
Hiki ni cheo alichopewa mungu aliyeabudiwa Misri ambapo mungu huyo ni mwezi.