sw_tn/jer/38/04.md

314 B

Atafanya mikono ya wapiganaji waliobaki mjini kuwa dhaifu, ma mikono ya watu wote

"atasababisha askari na watu wa mji kupotezaujasiri"

Kwa kuwa mtu huyu hawapi usalama watu hawa bali maafa

"kwa sababu Yeremia hawasaidii watu bali anawaumiza watu"

Tazama yuko mikononi mwenu

"Tazama, mna nguvu juu yake"