sw_tn/jer/33/19.md

761 B

Neno la Yahwe lika kwa.

Angalia 1:1

Aganano langu la mchana na usiku ... agano langu na Daudi mtumishi wangu.

Yahwe analilinganisha na mchana na usiku agano lake na Daudi. Kama vile mtu asivyoweza kuubadilisha amchana na usiku, ndivyo pia mtu asivyoweza kulibadilisha agano la Mungu na Daudi.

Kuketi juu ya kiti chake cha enzi.

"Kuutawala ufalme aliopewa."

Kama vile majeshi ya mbinguni yasivyoweza kuhesabika, na kama vile mchanga wa ufukwe wa bahari usivyoweza kupimwa, ndivyo nitakavyouongeza uzao wa Daudi mtumishi wangu na Walawi watumikao mbele zangu.

Sentensi hizi mbili kimsingi zina maana moja na zinaelezea wazo au kitu kimoja. Hivyo zimetumikakwa pamoja ili kuleta msisitizo kuhusu jambo analozungumza Mungu kuhusu Daudi na uzao wake.