sw_tn/jer/32/22.md

203 B

Maelezo ya jumla:

Yeremia anaendelea kuzungumza.

Utawapa.

"utawapa watu wa Israeli."

Nchi itiririkayo maziwa na asali.

Angalia

Lakini hawakuitii sauti yako.

"Lakini hawakutii ulichosema."