sw_tn/jer/31/33.md

431 B

Nitaiweka sheria ya Mungu ndani yao na nitaiandika juu ya mioyo yao.

Virai hivi viwili vina maana moja na vinaweka msisitizo kwamba sheria ya Yahwe itakuwa sehemu yao, kulikio kuwa nayo ikiwa imeandikwa juu ya mawe tu. Hapa "moyo" unawakilisha "hisia" au "akili": Sheria yangu itakuwa sehemu ya mawazo na hisia zao."

Kuanzia mdogo wao hata mkubwa wao.

Kirai hiki kinamaana ya kila mtu, bila kujali umuhimu wao katika jamii.