sw_tn/jer/31/23.md

307 B

Watu.

Hapa hii inawataja watu wa Yuda.

Yahwe akubariki, wewe sehemu takatifu ambapo anaishi, ewe mlima mtakatifu.

Yerusalemu iko juu ya mlima, na hekalu lilijengwa kwenye kilele cha kilima hicho katika Yerusalemu. "Yahwe awabariki wanaoishi pamoja naye katika Yerusalemu, mahali lilipo hekalu lake."