sw_tn/jer/30/14.md

741 B

Maelezo ya jumla:

Yahwe anaendelea kusema kwa watu wa Israeli.

Wapenzi wako wote.

Yahwe anawaelezea watu wa Israeli kama mke asiyemwaminifu ambaye huchukua wapenzi wengine tofauti na mme wake. Hapa, neno "wapenzi" lina maana ya mataifa mengine. Waisraeli walifanya mapatano nao na kuibudu miungu yao badala ya kumtegemea Yahwe pekee.

Hawatakuangalia.

"Hawataki kuwa arafiki zako tena."

Nimekujeruhi kwa jeraha la adui.

Hii ina maana kwamba Yahwe amewatendea watu wake kama vile anawatendea adui zake.

Kwa nini unaita msaada kwa ajili ya jeraha lako?

Yahwe aliuliza swali hili hapa ili kuwafanya watu wake wajiulize kwa nini wanautafute msaada wake sasa

Dhambi zako zisizohesabika.

"Dhambi zako ambazo ni nyingi sana."