sw_tn/jer/28/15.md

189 B

Katika mwezzi wa saba.

Huu ni mwezi wa saba katika kalenda ya Kiebrania. uko kati kati ya nusu ya mwisho ya mwezi Septemba na nusu ya kwanza ya mwezi Octoba katika kalenda za Magharibi.