sw_tn/jer/28/01.md

419 B

Taarifa za jumla:

Hanania anajidai kuwa anasema ujumbe wa Mungu.

Katika mwaka wa nne na mwaka mwezi wa tano.

Huu ni mwezi wa kalenda ya Kiebrania. Uko katika kipindi cha kiangazi, kati kati ya nusu ya pili ya mwezi Julai na nusu ya kwanza ya mwezi wa Nane katika kalenda ya magharibi.

Azuri

Jina la kiume.

Nimeivunja nira iliyokuwa imewekwa na mfalme wa Babeli.

"Nimestisha mamlaka ya mfalme wa Babeli."