sw_tn/jer/26/18.md

935 B

Maelezo ya jumla:

Mikaya alikuwa nabii wa Mungu na alifanya huduma ya unabii huko Yuda katika kipindi cha utawala wa Hezekia.

Sayuni utalimwa kama shamba.

"Sayuni utaharibiwa."

Mlima wa hekalu.

Huu ni mlima ambako hekalu lilikuwa limejengwa.

Vichaka.

Neno hili lina maana ya makundi ya vichaka au miti midogo midogo inayokua pamoja karibu karibu.

Je, mfalme Hezekia na watu wote wa Yuda walimua Mikaya?

"Hezekia, mfalme wa Yuda na watu wa Yuda hawakumuua Mikaya."

Je, hakumwogopa Yahwe na kuutaka radhi uso wa Yahwe ili kwamba Yahwe angeghairi kuhusu janga alilotangaza kwao?

Alimwogopa Yahwe na kumfanya Yahwe apunguze hasira ili kwamba Yahwe abadili mtazamo wake kuhusu janga alikuwa amesema atatuma.

Kuutaka radhi uso wa Yahwe.

"Kuifanya hasira ya Yahwe ipungue."

Kwa hiyo tutafanya maovu makubwa juu ya maisha yetu sisi wenyewe?

"Kamaa tutamuua Yeremia, tutaleta uovu mkubwa juu yetu sisi wenyewe."