sw_tn/jer/26/10.md

245 B

Wakuu.

Mkuu ni mtu mwenye nafasi ya mamlaka.

Lango jipya.

Hili lilikuwa langu mahususi la kuingilia kwenye hekalu.

Mlivyosikia kwa masikio yenu.

"Mmesikia."

Nyumba hii na mji huu.

Watu katika hekalu la Yahwe na mji wa yerusalemu.