sw_tn/jer/26/07.md

556 B

Nyumba ya Yahwe.

"Hekalu."

Watu wote wakamsimamisha na kusema, "Hakika utakufa!"

Maana zinazowezekana ni 1) Watu waliachagua kuamaini uongo wa amani ya uongo na hawalutaka kukosorewa kwa ukweli 2) Watu waliwaamini manabii wengine wakitangaza amani na kumwona Yeremia kama nabii wa uongo ambaye alistahili kupigwa mawe kwa kuwapotosha watu.

Kwa nini umetabiri kwa jina la Yahwe kwamba nyumba hii itakuwa kama Shilo na mji huu utakuwa ukiwa , bila wakaaji.

Hili ni karipio. "Hupaswi kutabiri katika jina la Yahwe kwamba hekalu lake litaharibiwa."