sw_tn/jer/25/19.md

8 lines
215 B
Markdown

# Taarifa za jumla
Yeremia anaweka orodha ya mataifa yote ambayo yatahukumiwa
# watu wa urithi mchanganyiko
Hii ni kumbukumbu kwa watu wenye wazazi wawili kutoka mataifa mawili tofauti. AT "watu waliochanganywa"